Johnston J.
Fantastic light! Am your satisfied customer with this product.Keep up the good work.Delivery was fast and the delivery man surprised me by speaking excellent english. I will order more from you in the future.
Mariamu S.
Ina mwanga mzuri.Nimependa style yake ya nje ya material ya glass.Nimefurahia sana hii bidhaa kwakweli.Nlinunua mbili kwanza kujaribu ubora manake siku hizi online matapeli ni wengi.Unaagiza kitu kinakuja tofauti na ulichoona mtandaoni.Nashukuru kwa nyinyi mmeleta kitu chenye ubora nliotaka.
Gloria M.
Ka garden kangu kameanza kupendeza jamani.Mi napenda sana Garden.Mtaani wananiita mama Maua.Ntakua mteja wenu sana kama mkiwa mnaleta vitu vya garden. Hata watoto wangu wameshaanza kurithi tabia zangu za kupenda maua.Nimepoteza risit ya TRA mlionipa.Kama mna pdf file au picha yake naomba mnitumie maana nmeambiwa mnatumia VFD.
Jepherson M.
Nimependa namna mwanga ulivo kama moto kwenye giza.Nmezikagua na kuona zinawaka hadi asubuh.Ntahitaji zingine kwa ajili ya hotel yangu ya Arusha.Nlishawah kununua taa za bei rahisi hazikukaa hata mwezi zikazima kabisa.Natumaini kwenu haitakua hivyo.Hii ndio mara yangu ya kwanza kununua kutoka kwenu
Mariamu A.
Pembeni ya nyumba yangu kumependeza na hizi taa mbili tu.Na mbele ya nyumba pia nimeweka.Ntakutumia picha za mbele kesho.Nimependa ubora wake.Jana nlivamka kwenda kazin asubuh saa11 bado zilikua zinawaka japo mwanga ulikua sio mkali kama ule wa saa 1 usiku.Mkipata taa zingine za garden naombeni mnitumie whatsapp.
Christopher A.
Aisee ni taa tatu tu lakini zinaonesha utofauti kwenye bustani yangu.Nimeziweka hapa kwangu boko kwenye bustani yangu.Kwasababu bustani yangu ni kubwa hivyo ntaongeza zingine.Dada yangu pia ameziona nimempa namba yenu atawatafuta hivi karibuni.Ntaendelea kuwapa wateja watakavokua wanakuja watu kuziona hapa kwangu
Stefania A.
Hii taa imeongeza mvuto kwenye bustani yangu.Ntaongeza zingine hivi karibuni.Mme wangu amezipenda pia.Nlilipia moja kwa moja nkachukue mwenyewe hapa Musoma mjini.Naomba mara nyingine nkiagiza mtumie bus ntakalowaambia ili kuepusha usumbufu wa kwenda kuchukua mzigo mbali na ninapokaa
Mushi J.
Nimeshazipokea taa na ndo nazijaribu kuziwasha hapa nyumbani kwangu usiku.Delivery aliniletea hapa Sakina Arusha.Naomba next time mkimtumia delivery alete anitumie meseji nsipokua napokea simu, kwasababu namba ngeni hua sipokei.