Solar Street Light 120W – Almasishop


Solar Street Light 120W
Solar Street Light 120W
Solar Street Light 120W
Solar Street Light 120W
Solar Street Light 120W
Solar Street Light 120W
Solar Street Light 120W
Solar Street Light 120W
Solar Street Light 120W
Solar Street Light 120W
Solar Street Light 120W
Solar Street Light 120W
Solar Street Light 120W
Solar Street Light 120W

Solar Street Light 120W

110,000.00 TZS
150,000.00 TZS
Watts
  • 120
  • 150
  • 600

Instock(available)

SPECIFICATIONS: ✅Ina Mwanga Mkali Sana...

Tech Specs

Product options
  • Watts 120, 150, 600
Vendor
Collections
almasishop

TAA BORA ZA SOLAR

Taa nzuri za uhakika
Taa hizi ni za brand ya Solar inayoitwa "Sunmotto".Ukinunua Taa hizi tunakupa Warranty ya mwaka mmoja.Tuna spare na betri zake hivyo baada ya kununua tutaweza kukusaidia muda wowote

TAA ZA BEI NAFUU KWA KILA MTANZANIA

Bei nzuri kuliko zingine
Taa za watt120 hazisifiki kwa bei nzuri tu bali kwa ubora wake wa hali ya juu.Kwa zaidi ya miaka mitano zimekua taa zilizoongoza mauzo ya muda wote hadi sasa.Ubora wake unatokana na kuwekwa betri kubwa inayoweza kudumu hadi asubuhi.Pia material yake ni magumu kulinganisha na taa nyingine.
FREE_INSTALLATION_1_1
Mlandiz

ONGEZA MWANGA KWA MAZINGIRA YAKO

PATA OFA YA
PUNGUZO
Pata taa za uhakika za solar Watt120.Zina warranty ya mwaka mmoja.Ni taa nzuri zinazowaka hadi asubuhi.Kwa kuthamini wateja wetu mwaka huu wa 2024.Tunatoa ofa, ukinunua taa zaidi ya moja(badala ya 119,000 utalipa 115,000 kila moja).Pia ukifikisha taa 5 kwa order moja, ile taa ya 5 utauziwa kwa punguzo la asilimia 20.
almasishop

TAA YA WATT 120 IKIFUNGWA MBEYA

Tunafanya pia ufungaji wa Taa kwa bei nafuu
Taa hizi za watt120 ni rahis sana kufunga kwasababu zinakuja na panel yake ya solar humo humo.Pia zimetengenezwa kwa material imara yanayozuia maji kipindi cha mvua.
yCXeILIKUPATADISCOUNTBONYEZAADDTOCARTKKISHACHAGUAIDADIALAFUNDOUBONYEZECHECKOUT_2_480x480_edabfe92-69de-4056-ad05-4143e80e70ec