Allan J.
Nina banda langu nalitumia kuonesha mpira. Nimeamua kufunga hii camera niweze kuona matukio vizuri. Ulinzi ni kitu cha muhimu sana kwangu. Nimeunganisha na simu yangu ili wakat wowote nijue nini kinaendelea.
Ismael M.
Camera iko vizuri. Nlikua nkisubir niifunge kwanza ili niweze kutoa maoni halisi. Matukio nayaona kwa HD. Kila anayeingia na kutoka nyumban namuona vizuri kabisa. Huko mbeleni ntaongeza zingine kwa ajili ya maeneo yangu mengine.
Gabriel S.
Fundi wenu kaja hapa Kigamboni na kanifungia vizuri kabisa. Hii camera ni HD kweli kweli. Naweza kuona kila kinachoendelea kwenye site yangu. Mpaka ujenzi ukamilike naamin ntaweza kuendana sawa na hawa mafundi wangu