CAMERA NZURI YA SOLAR
Camera bora na za uhakika
Hii ni Camera ya lens 3 mpya ambayo utaweza kuzizungusha lens zote 3. Hii ni tofaut na camera zingine tulizouza huko nyuma ambapo ulikua una uwezo wa kuzungusha lens moja tu.
CAMERA INAWEZA KUFUNGWA POPOTE
Unaweza kufunga ndani ya nyumba,ukutani, kwenye fensi,nk. Battery lake limeboreshwa na kua kubwa zaidi ili liweze kudumu kipind cha mvua ambapo jua halichomoz sana
UNGANISHA NA SIMU UONE MATUKIO YOTE
Ona Live kupitia simu
Kupitia simu yako utaweza kuona kila kinachoendelea kwenye eneo lako. Pia utaweza kuunganisha zaidi ya simu moja ili na wengine waweze kupata taarifa kikitokea kitu kwenye eneo lako.
UTAWEZA KUONGEA KUPITIA CAMERA
Utaweza kuwaskia walio kwenye eneo lako
Camera hii inauwezo wa kurekodi video na sauti. Kupitia simu yako utaweza kuongea na walio kwenye eneo lako na mkasikilizana vizuri. Hii itakufanya uweze kuskia kila kinachoendelea kwenye eneo lako