Sale price
99,000.00 TZS
Regular price119,000.00 TZSSale
Manase G.
Nimefunga bulb moja bafuni kwangu.Nikiwa naoga umeme ukikatika nakua naendelea kupata mwanga.Hakuna kuoga gizani tena umeme ukikatika.Nitawaletea wateja wengi wa huku Kasulu
Selemani M.
Mwanga wa bulb ni mzuri.Ni wa LED haswa.Ilibidi nijaribu bulb mbili kwanza kuona kama zitanifaa.Nataka kubadilisha bulb zangu zote za nyuma ziwe za mtindo huu ili umeme ukikatika niendelee kua na mwanga
choosing a selection results in a full page refresh