TAA NZURI ZA SOLAR
Taa bora na za uhakika
Hizi ni taa ambazo ni nzuri kimuonekano.Ni taa zinazotumia mwanga wa jua kujichaji na kuwaka usiku.Ukinunua Taa hizi tunakupa Warranty ya mwaka mmoja.Ni Taa ambazo zinapendezesha mazingira yako na kuyafanya yawe ya kipekee
TAA ZINAZOWEZA KUFUNGWA UKUTANI KIRAHISI
Funga kwenye ukuta wako kirahisi kabisa
Taa hizi unaweza kufunga vizuri kwenye ukuta wowote.Zinakuja na screw zake za kufungia.Utaweza kufunga kwa haraka bila wasi wasi
NI TAA ZENYE MATERIAL IMARA SANA
Panel Kubwa nyeus inayowahi kuchaji
Taa hizi zinakuja na panel nzuri kubwa nyeus inayoweza kuchaji kwa haraka hata jua lisipotoka kwa muda mrefu.Hii inafanya mwanga uweze kupatikana kuanzia usiku hadi asubuh
TAA ZENYE MWANGA MKALI
Ukuta wako hautakua wa kawaida tena
Taa hizi zina rangi za kuvutia saba.Inajiwasha rangi zote kwa mpangilio kila baada ya sekunde kadhaa.Hii itawavutia had wageni wako washangae namna nyumba yako inavyopendeza
TAA BORA YA YA SOLAR YA UKUTANI
FANYE UKUTA WAKO UNG'AE USIKU
Nunua hizi taa ushangaze majirani na watakao kutembelea.Kumbuka warranty ni mwaka mmoja.Hivyo nunua huku ukijua ubora ni wa hali ya juu kabisa.