Gabriel J.
Tangu niifunge last week ofisini kwangu Ubungo sijapata shida yoyote kwenye kuona matukio kupitia simu.Fund wenu mlienipa alinifungia vizuri ila hakwenda na muda kabisa.Tafadhali zingatieni hilo lasivyo nkiagiza tena na mkirudia mtakua mmenikwaza sana. Nta recommend na wengine wanunue camera hizi kwa ajili ya ulinzi
Muta R.
nimeamua kuifunga camera yenu mapema site kwangu ili niwe nawachek mafund wangu wanachokifanya pale nsipokuwepo.Na kwasababu haina haja ya umeme basi nawaona live muda wowote nkitaka.Ntanunua zngine kwa ajili ya site zangu za mikoa mingine.
George m.
Nipo nayo camera tayari hapa musoma.Wakala wenu Mr Samwel alinipatia jana jioni.Nkiwa na maswali mengine ntawauliza.Asanteni kwa ushirikiano
Ibrahim M.
Camera imeshanifikia hapa mbozi.Ilinibidi niwapigie video call kuona duka lenu maana matapeli wamekua wengi sana.Nashukuru mmekua waaminifu na kunitumia kwa wakat nliotaka.Nitawaletea wateja wengine muda si mrefu