Sale price
69,000.00 TZS
Regular price79,000.00 TZSSale
Yasinta E.
Nimekua nikiulizwa sana na marafiki zangu kwamba hizi taa nimezitoa wapi.Bustani yangu imebadilika sana muonekano wake.Siku mnipe na zawad jamani manake nna uhakika mmepata wateja wengi kupitia mimi.Mkileta na za aina nyingine mnitafute niwaungishe tena.
Robert C.
Taa hii ya solar imependezesha getini kwangu.Nimefurahi nlivokua natoka juz na gar asubuh saa11 na kuona bado taa inawaka.Taa zingine nlizowah kununua kabla za bei rahisi ikifika saa 6 tu usiku zinazima.Ila naona hizi za kwenu zipo vizuri na zinawaka usiku kucha.Ntaongeza zingine niweke kweny fensi yangu
Morris m.
Taa imekaa mahala pake kabisa ukutani.Nimechagua huo mwanga wa njano kwasababu naona ndo inapendezesha ukuta wangu.Napendelea taa za solar kwasababu ya kuokoa bili za umeme za mara kwa mara.Nitanunua tena taa zingine za solar kutoka kwenu.
Faraja M.
Mi napenda sana bustani yangu.Ndio maana nlivoona taa zenu sikusita kuzinunua mapema.Zimebadilisha sana bustani yangu.Naskia faraja sana nikiwa napita usiku kuingia ndani kwangu namna bustani yangu inavyopendeza.
Tanil S.
Muonekano wa bustani yangu umebadilika sana kutokana na taa hizi.Nimechagua rangi ilioweza kuendana na bustani yangu.Asanteni kwa taa nzuri.Muendelee hivyo hivyo kwa huduma nzuri
choosing a selection results in a full page refresh