Godfrey E.
Taa tayar imefungwa ukutani.Mwanga wake unakidhi mahitaji yangu.Mara ya kwanza nlikua mzito kuwaamini lakini mke wangu akanishawishi na kwakua nalipia baada ya kupokea mzigo nkaona bora nijaribu kuagiza kwenu.Wakala wenu wa Kahama amenihudumia vizuri sana.Endeleeni na uaminifu wenu Almasishop
juma A.
Mzigo ndo nmeupokea na kuupiga picha.Big up kwenu Almasishop.Nmeagiza Jana Na kupata leo Tanga.Naombeni mkileta bidhaa mpya mnihabarishe mapema.Asanteni
Masanja J.
Taa imekaa mahala pake kabisa.ndo nmetoka kuifunga.nlijaribu kabisa na kuridhika kwamba inawaka.Huduma nzuri sana mmenipa na nmeipenda bidhaa nliyopokea.Ipo Kana Kwenye picha mlizotuma mtandaoni.Nategemea nkinunua tena mtanipa zawad kama mlivyoahidi.
Mushi A.
Parking Yangu huku porini huku ina mwanga mzuri sana Usiku.Taa moja ilipata damage wakat wa usafir, nashukuru mlinibadilishia taa nyingine mpya.Nlitegemea mngenizungusha na kutopokea simu zangu lakini mmenithibitishia kua nyinyi ni wafanyabiashara waaminifu.Nta recommend bidhaa zenu kwa operators wengine wa utalii huku
Juma M.
Delivery yenu iko haraka sana.Nmeupata mzigo wangu Siku moja tu baada ya kuagiza hapa Singida.Niliwatafuta kipind mzigo umeisha mkaniahidi baada ya wiki 2 mzigo utafika na kweli mmetimiza ahad yenu.Nmefurahia mwanga wa hizi taa baada ya kuzifunga.Nitawapa order ya taa za garden mwsho wa mwezi huu ili nipendezeshe bustani yangu
Shafii A.
Kitu kikubwa mlichonifurahisha kwakweli ni kutafuta kwa ajili ya maoni mwezi mmoja baada ya mimi kununua.Imenigusa sana hio kwani wafanyabiashara wengi wakishakuuzia kitu wankusahau kabisa na ukiwaambia kuna tatizo ndo hata simu hawapokei.Nyinyi mmekua tofauti na wengine kwa kuonyesha kujali sana wateja wenu.Hii taa ya Watt 1000 imenifaa sana kwa mazingira.Mara ya kwanza nilinunua 2 na napanga kuongeza zingine 3 zaidi.Asanteni sana kwa huduma zenu bora
Bernard M.
Mimi Ni mkazi wa mbeya maeneo ya soweto.Sijajutia kununua taa hizi kwenu.zina ufanisi mkubwa ukilinganisha na taa zingine za bei rahisi.Mwez Ujao napanga kuongeza zingine kwa ajilii ya site zangu zingine.Asanteni sana Almasishop
Eric M.
Ni muda mrefu nmekua nikitafuta taa kwa ajil ya kuweka nje ya nyumba yangu.Kupitia Rafiki yangu wa karibu Manula alinishaur niwatafute Almasishop kwani wao ni mabingwa wa taa za solar.Sijajutia uamuzi huo kwani Taa hii ya watt1000 imekidhi vigezo vyote.Natumaini huu ni mwanzo tu wa mi kununua vitu vya solar kutoka kwa hawa jamaa.Nililetewa bila gharama ya usafir hadi nyumbani kwangu tegeta mbuyuni.