Bahati G.
Hapo ni njie ya go down langu. Nimefunga taa mbili kwanza ila mwanga naona ni mzuri. Sasa camera zangu zinaweza kuona vizuri zaidi usiku kwasababu mwanga ni mkali. Nliletewa mapema na kwa wakati na wakala wenu wa huku Mwanza. Tutaendelea kuagiza tukiona bidhaa zingine nzuri
Hamad S.
Hapa ni site kwangu ujenzi unaendelea wa swimming pool. Eneo ni kubwa na nataka had usiku ufund uendelee. Kwa hii taa yenu ilivo na mwanga mkali imewafanya mafund waweze kufanya kaz hadi usiku. Big up sana almasishop. Sikutegemea yaan, nlinunua moja kwa kuogopa si unajua tena mtandaoni hali ilivo ila nashukuru mmekua waaminifu sana.
Sajad S.
Nna kiwanda changu eneo la Meatu mkoa wa Simiyu. Nimekua nkitafuta taa za solar kwa muda mrefu. Nlivofunga taa zenu chache na kuzipenda, sasa nimeamua kufunga nying hapa kiwandani kwangu. Kama unavoona hapo ni fensi ya kiwanda na inameremeta balaa kwa mwanga mkali wa taa zenu za watt1000. Nimefunga kuzunguka fensi yote ya kiwanda na hadi ndani kwenye ma godown. Ubora wa hizi taa nimeridhika nao na nawashauri muendelee kuleta bidhaa nzuri kama hizi
Ally K.
Aisee hii taa ni kiboko ya taa zote za solar ambazo nlishawah kununua hapo nyuma. Nimekua nkinunua taa ambazo hazina ubora kwakweli na ndio maana safar hii nkaomba moja tu ili kuchek ubora wake na niseme tu kwamba mmenifurahisha na nimeridhika kabisa. Mkileta mzigo wowote mpya mnipe taarifa maana naweza kuwaletea wateja wapya.
Jimmy H.
Ufundi wa kufunga taa unaendelea hapa mkoani Songwe. Hii taa yenu ya solar itanisaidia sana kutawanya mwanga hapa site kwangu na kupunguza gharama za umeme. Sio mara yangu ya kwanza kufanya biashara na nyinyi. Wakala wenu wa Mbeya ananifahamu vizuri. Nikiona bidhaa nyingine nzuri nitawajuza.
Madam D.
Mlileta mafundi wenu waje kufunga hapa taa kwenye shule yetu ya Ghome secondary ya wasichana. Kiukweli mara ya kwanza nlikua na was wasi sana kwasababu nliagiza tu mtandaoni na ndio maana nkaomba mbili tu tujaribu mwanga wake. Ila baada ya kufungiwa hizo mbili nimeweza kuagiza zingine sita!. Hizi taa zenu ni nzur na zimetusaidia kupunguza bili ya umeme kwani ni taa za solar. Endeleeni kuuza bidhaa zenye ubora, mtapata wateja wengi zaidi huko mbeleni.
Mussa A.
Nimepokea taa yangu na hapa hivi naifunga kwangu nyumbani. Hii ni baada ya kuitest mwanga wake na kuridhika nao. Asanteni kwa uaminifu wenu maana matangazo mengi siku hizi mtandaoni ni mbwembwe nyingi alaf ikija taa yenyewe hamna lolote. Ila hii taa yenu ya floodlight ina mwanga mkali kama mnaotangaza kwenye mitandao ya kijamii, Ntaagiza tena hivi karibuni
Kitenge M.
Nyumba yangu ipo hapa msasani dar es salaam.Nimefungiwa hizi taa mbili ndani ya siku moja.Nimependa mlivonifungia haraka hizi taa.Nimechoka kulipia bili ya umeme kwenye taa za nje.Nitawaletea wateja wengi kupitia marafiki zangu wakiziona hizi taa mlizonifungia.
George W.
Zoez la kufunga taa ndo linamalizika.Nlichoipendea hii taa ni namna unavyoiweza kuifunga kwa style nyingi mno.Ntakutumia tena picha na video zikiwa zinawaka usiku.Mtu wenu wa delivery yupo sharp sana.Nimependa alivo makini
Singh P.
Nimefurahi kuona mwanga wa kutosha kipind narud nyumbani usiku.Ningefunga taa za umeme ingeni gharimu sana kwenye bili za umeme.Sasa hivi navorud ku park gari yangu naona mwanga wa kutosha eneo lote.Rafiki zangu wamezikubali sana hizi taa
Ambrose S.
Taa imekaa mahala pake aisee.Inapiga mwanga mkali hadi asubuh ya saa3.Sikuamini hadi wife aliponiambia nitazame.Hizi taa ni kiboko aisee.Ikifika usiku ntapiga picha nyingine nkutumie uone.Endeleeni kuleta vitu vyenye ubora kwa ajili yetu.
Christopher M.
Nimeridhika na mwanga wa hizi taa.Imenibidi nifunge kuzunguka nyumba nzima.Ntaongeza tena hivi karibuni kwa ajili ya nyumba yangu nyingine ya Mwanza.
Six J.
Fundi wenu yupo hapa ndo ametoka kuzifunga taa huku mbezi beach.Tumezijaribu tayari kabla ya kuzifunga na zote zipo vzuri.Nachoweza kuwashauri ni kwamba msiwasahau wateja wenu wa zamani.Muwe mnatutumia meseji mkipata mzigo mpya sio mpaka tuwaone huko instagram tena.
Mama L.
Mimi ni mkazi wa bagamoyo.Nlipita hadi hapo dukani kwenu mwananyamala kununua hio taa na pia nikapendezwa na taa zenu za garden nkachukua moja pia.Hii floodlight ipo vzuri.Inawaka had asubuh Saa mbili yaani.Sijajutia kuichukua.Mkiwa na bidhaa mpya msisite kunitumia meseji
Salim A.
Nyumbani kwangu kumekua kama uwanja wa mpira.Mwanga ni mkali na taa zinawaka hadi saa moja asubuh.Design mliyoichagua kwenye ufungaji wake imefaa sana eneo langu.Sasa hiv sitahitaji tena taa za umeme kwangu.
Frank K.
Taa zimeshafika na ndo zinafungwa hapa na fundi.Mi ni mkazi wa Kagera Bukoba hapa.Nmeshazijaribu zinawaka vizuri.Ntatuma picha zingine zikishafungwa kabisa kwa ukuta
Abeid A.
Tumefunga taa chache tu ila mwanga ni mzuri na unatosha kwa mazingira haya.Hii nliagiza kwa ajili ya kampuni ila nadhani mara nyingine ntaagiza kwa ajili yangu binafsi.Nimependa huduma zenu
Mushi C.
Hii taa yenu ni kiboko.Nmefurahi kua kati ya watu wa kwanza kununua hii.Mwanga wake uko vizuri na mimi nmeiset mtu akipita inakua inaongeza mwanga mkali.Nmechukua watt200 ila nadhani wiki ijayo ntaagiza watt300 mniletee .Wakala wenu wa Moshi anapafahamu