Julieth M.
Angalia jinsi taa ilivokaa mahala pake.Nimetoka kufungiwa na fundi wenu hapa changanyikeni.ili eneo lilikua giza sana usiku.nikipata hela nitaongeza zingine
Juma M.
Delivery yenu iko haraka sana.Nmeupata mzigo wangu Siku moja tu baada ya kuagiza hapa Singida.Niliwatafuta kipind mzigo umeisha mkaniahidi baada ya wiki 2 mzigo utafika na kweli mmetimiza ahad yenu.Nmefurahia mwanga wa hizi taa baada ya kuzifunga.Nitawapa order ya taa za garden mwsho wa mwezi huu ili nipendezeshe bustani yangu
Shafii A.
Kitu kikubwa mlichonifurahisha kwakweli ni kutafuta kwa ajili ya maoni mwezi mmoja baada ya mimi kununua.Imenigusa sana hio kwani wafanyabiashara wengi wakishakuuzia kitu wankusahau kabisa na ukiwaambia kuna tatizo ndo hata simu hawapokei.Nyinyi mmekua tofauti na wengine kwa kuonyesha kujali sana wateja wenu.Hii taa ya Watt 1000 imenifaa sana kwa mazingira.Mara ya kwanza nilinunua 2 na napanga kuongeza zingine 3 zaidi.Asanteni sana kwa huduma zenu bora
Erick M.
Ni muda mrefu nmekua nikitafuta taa kwa ajil ya kuweka nje ya nyumba yangu.Kupitia Rafiki yangu wa karibu Manula alinishaur niwatafute Almasishop kwani wao ni mabingwa wa taa za solar.Sijajutia uamuzi huo kwani Taa hii ya watt1000 imekidhi vigezo vyote.Natumaini huu ni mwanzo tu wa mi kununua vitu vya solar kutoka kwa hawa jamaa.Nililetewa bila gharama ya usafir hadi nyumbani kwangu tegeta mbuyuni.
Bernard m.
Mimi Ni mkazi wa mbeya maeneo ya soweto.Sijajutia kununua taa hizi kwenu.zina ufanisi mkubwa ukilinganisha na taa zingine za bei rahisi.Mwez Ujao napanga kuongeza zingine kwa ajilii ya site zangu zingine.Asanteni sana Almasishop
Zawadi K.
Nyuma ya nyumba yangu kulikua kuna giza sana.Nimekua nkitafuta taa ya bei nafuu yenye mwanga wa kutosha kwa ajili ya kutokomeza hili giza usiku.Hii taa ya watt500 imekidhi vigezo vyangu.Ntaongeza zingine kwa ajili ya maeneo yangu mengine
James M.
Nimezifunga hizi taa kwenye uwanja wangu wa nyumbani.Nmeridhika na mwanga wake.Nataka kuagiza tena kwa ajili ya kiwanda changu Singida ili kupunguza gharama ya umeme.Nashukuru kwa uharaka wenu wa kunifikishia mzigo hadi nyumbani mlangoni