4G Solar Camera – Almasishop


4G Solar Camera
4G Solar Camera
4G Solar Camera
4G Solar Camera
4G Solar Camera
4G Solar Camera
4G Solar Camera
4G Solar Camera

4G Solar Camera

179,000.00 TZS
365,000.00 TZS
Type
  • Solar 4G Double lens
  • Solar 4g Three Lens

Instock(available)

SPECIFICATIONS: Place of Origin China...

Tech Specs

Product options
  • Type Solar 4G Double lens, Solar 4g Three Lens
Vendor
Collections
ph-11134103-7r98v-lvssgrwdylzoec_result

CAMERA BORA ZA SOLAR

Camera nzuri za uhakika
Camera hizi nzuri na ni brand ya V380.Ukinunua camera hizi tunakupa Warranty ya miaka miwili. Tumekua tukiuza camera za brand hii kwa muda mrefu hivyo tunajiamini na ubora wake na ndio maana tunatoa warranty ya miaka miwili.

CAMERA ZA BEI NAFUU KWA KILA MTANZANIA

Bei nzuri kuliko zingine
Camera hizi za Solar zinasifika pia kwa ubora wake. Ubora wake unatokana na kuwekwa betri kubwa inayoweza kudumu hadi kipind hamna jua .Pia panel yake ya solar ni nyeus na kubwa hivyo inakua inawahi kuchaji betri mapema
Untitled_design_68_1
Untitled_design_60

ONGEZA ULINZI KWA MAZINGIRA YAKO

PATA OFA YA
PUNGUZO
Pata camera za uhakika za solar .Zina warranty ya miaka miwili.Ni camera nzuri zinazorekodi picha na video kwa HD kabisa.Kwa kuthamini wateja wetu mwaka huu.Ukinunua zaidi ya camera moja tutakupunguzia bei
ph-11134103-7r98w-lvsshom877bo86_result

CAMERA YA SOLAR IKIFUNGWA KWA MTEJA

Kufunga Camera hii ni Rahisi sana
Camera hii ya solar sio ngumu kuifunga.Tutaweza kukuelekeza namna ya kuifunga.Unahitaji tu kua na simu ya mkononi na line ya simu
yCXeILIKUPATADISCOUNTBONYEZAADDTOCARTKKISHACHAGUAIDADIALAFUNDOUBONYEZECHECKOUT_2_480x480_edabfe92-69de-4056-ad05-4143e80e70ec