CAMERA BORA ZA ULINZI
Camera nzuri za uhakika
Camera hizi nzuri na ni brand ya V380.Ukinunua camera hizi tunakupa Warranty ya miaka miwili. Tumekua tukiuza camera za brand hii kwa muda mrefu hivyo tunajiamini na ubora wake na ndio maana tunatoa warranty ya miaka miwili.
CAMERA ZA BEI NAFUU KWA KILA MTANZANIA
Bei nzuri kuliko zingine
Camera hii inasifika sana na namna ilivo HD.Yaani utaweza kuona kila kitu kwa usahihi kabisa.Na pia ni bei nafuu kuliko camera nyingi
ONGEZA ULINZI KWA MAZINGIRA YAKO
PATA OFA YA
PUNGUZO
Pata camera za uhakika .Zina warranty ya miaka miwili.Ni camera nzuri zinazorekodi video na sauti.Funga kwenye maeneo mbali mbali mfano ndani ya ofisi yako,nyumbani kwako ,nk. Kwa kuthamini wateja wetu mwaka huu.Ukinunua zaidi ya camera moja tutakupunguzia bei
CAMERA IMEFUNGWA KWA MTEJA
Kufunga Camera hii ni Rahisi sana
Camera hii sio ngumu kuifunga.Tutaweza kukuelekeza namna ya kuifunga.Unahitaji tu kua na simu ya mkononi na line ya simu