Special Floodlight – Almasishop


Special Floodlight
Special Floodlight
Special Floodlight
Special Floodlight
Special Floodlight
Special Floodlight
Special Floodlight
Special Floodlight
Special Floodlight
Special Floodlight
Special Floodlight
Special Floodlight

Special Floodlight

69,000.00 TZS
89,000.00 TZS
Watts
  • 50W
  • 100W
  • 150W
  • 200W
  • 300W

Instock(available)

     

Tech Specs

Product options
  • Watts 50W, 100W, 150W, 200W, 300W
Vendor
Collections
Untitled_design_46

TAA BORA ZA SOLAR

Taa nzuri za uhakika
Taa hizi ni za brand ya Solar inayoitwa "Sunmotto".Ukinunua Taa hizi tunakupa Warranty ya miaka miwili.Ni Taa ambazo zinasifika sana kutawanya mwanga eneo kubwa

TAA ZINAZOWEZA KUFUNGWA POPOTE

Funga ndani au nje
Japo wengi wamezoea kufunga hizi taa nje ila pia unaweza kuzifunga ndani.Hii ni kwasababu panel yake unaweza kuiweka juu ya bati na wakati taa ipo ndani.Na kwa jinsi inavyowaka masaa mengi utaweza kupata mwanga mzuri mchana na usiku.
Untitled_design_49
Untitled_design_51

ONGEZA MWANGA KWA MAZINGIRA YAKO

PATA OFA YA
PUNGUZO
Pata taa za uhakika za floodlight.Zina warranty ya miaka miwili.Ni taa nzuri zinazowaka hadi asubuhi.Kwa kuthamini wateja wetu,ukinunua zaidi ya taa moja utapata punguzo.
Untitled_design_48

TAA YA FLOODLIGHT IKIFUNGWA MBEZ BEACH,DAR

Tunafanya pia ufungaji wa Taa kwa bei nafuu
Taa hizi za Floodlight ni rahis sana kufunga .Pia zimetengenezwa kwa material imara yanayozuia maji kipindi cha mvua.Vumbi wala maji haviwezi kupenya kwa hii taa.Zimetengenezwa kwa material ya alluminium hivyo haziwez kupata kutu.
yCXeILIKUPATADISCOUNTBONYEZAADDTOCARTKKISHACHAGUAIDADIALAFUNDOUBONYEZECHECKOUT_2_480x480_edabfe92-69de-4056-ad05-4143e80e70ec