TAA BORA ZA SOLAR
Taa nzuri za uhakika
Taa hizi ni za brand ya Solar inayoitwa Blue Carbon.Ni brand maarufu duniani na inasifika kwa bidhaa bora za Solar.Ukinunua Taa hizi tunakupa Warranty ya miaka 10.Ni Taa ambazo zinasifika sana kutawanya mwanga eneo kubwa
ONGEZA MWANGA KWA MAZINGIRA YAKO
PATA OFA YA
PUNGUZO
Pata taa za uhakika za Wawa floodlight.Zina warranty ya miaka Kumi.Ni taa nzuri zinazowaka hadi asubuhi.Kwa kuthamini wateja wetu,ukinunua zaidi ya taa moja utapata punguzo.
TAA YA FLOODLIGHT IKIFUNGWA MASAK,DAR
Tunafanya pia ufungaji wa Taa kwa bei nafuu
Taa hizi za Floodlight ni rahis sana kufunga .Pia zimetengenezwa kwa material imara yanayozuia maji kipindi cha mvua.Vumbi wala maji haviwezi kupenya kwa hii taa.Zimetengenezwa kwa material ya alluminium hivyo haziwez kupata kutu.
TAA NZURI SANA KUFUNGA NJE
Mazingira yako, ya nje ya nyumba yatakua na mwanga mkali sana
Taa hizi za Floodlight ni imara na pia zimesifiwa na wateja wengi sana mwaka huu.Zimekua zikifanya bora kuliko taa ambazo zina panel hapo hapo.Body yake ya Alluminium hufanya betri isipate sana moto hivyo hulinda maisha ya betri yawe marefu zaidi.