TAA NZURI YA SOLAR
Ni taa ya uhakika
Taa hizi za solar zenye watt450, zimekua zikisifiwa sana kwasababu ya namna ambayo zilivyo simple.Ufungaji wake ni rahisi na pia camera ni HD kabisa
INAZUNGUKA PANDE ZOTE KUONA MATUKIO
Camera yake ina sifa ya PTZ
Camera za kwenye taa zinasifika kwa namna zinavyokua na uwezo wa kuona pande zote.Wakati jicho moja la chini likiwa linazunguka bas lingine la juu linakua linaangalia mbele kuna nini.Hii itakufanya mteja wetu uweze kuona matukio kwa ustadi wa hali ya juu
ONGEZA ULINZI KWA MAZINGIRA YAKO
PATA OFA YA
PUNGUZO
Pata taa za uhakika za solar zenye camera .Zina warranty ya miaka miwili.Ni taa nzuri zinazorekodi picha na video kwa HD kabisa
NAMNA CAMERA YAKE INAVOONESHA PICHA NA VIDEO
Camera ya hii taa ni HD kabisa.Ina ubora mzuri wa picha na video.Pia utaweza kuongea sauti na wakakuskia walio karibu na camera
MASWALI YANAYOULIZWA NA WATEJA WENGI
Jibu: Utahitaji tu line ya simu ya 4G ya mtandao unaoshika vizuri eneo hilo. Na pia utahitaji simu ya smartphone ili uweze kuunganisha na camera
Swali NO2: Camera inaona hadi umbali gani?
Jibu: Camera hii inaweza kuona hadi mita 100 na inazunguka pande zote.
Swali NO3: Hii camera inatumia bando?
Jibu: Ndio.Inatumia bando kwa kias cha kawaida.Na kwa kua utakua umeweka memory card ya kuhifadh matukio , utajiunga kifurushi tu cha kawaida ili uweze kuona matukio live ukiwa popote.
Swali No4: Ntaweza kuona matukio nikiwa eneo lingine tofauti na ilipo Camera?
Jibu: Ndio.Hata ukiwa nje ya nchi utaweza kuona matukio vizuri kabisa tena live yaan muda huo huo yakiwa yanatokea
Swali No5: Inarekodi picha na sauti?
Jibu: Ndio.Inaweza kurekodi video na sauti na pia utaweza hadi kuongea na kuzungumza kwa sauti na wale waliopo karibu na Camera.
Swali no6: Vipi kuhusu maji yaan wakat wa mvua?
Jibu: Hii camera haiingizi maji na ni imara kweli kweli.Ni nzuri sana kwa matumizi ya nje kwani ina uwezo wa kustahimili vitu vingi.
Swali no7: Naweza kuifunga mwenyewe nyumbani?
Jibu: Ndio.Taa hii ni rahisi sana kuifunga.Unahitaji tu kua na line ya simu ya 4G na simu ya mkononi ya smartphone. Tutakupa maelezo ya namna ya kuifunga ambayo ni mafupi sana. Wateja wengi sana wameweza kufunga wenyewe bila kuhitaji fundi.