Paul S.
Nimefunga taa ya watt400 nyumbani kwangu.Sijutii kununua kutoka kwenu.Taa inapiga mwanga mkali mpaka majirani wameanza kuniuliza kuhusu hii taa.Wengine walizani ni ya umeme mpaka walivosogelea na kuona panel ya sola.Ntaongeza zingine hivi karibuni
Vincent A.
Great product and great service. i will recommend you to my friends as well.Am a cameroonian living in Tanzania. This light that you have sold to me , works well as advertised on social media.Kudos to your team Almasishop!
Edwin B.
Nimetoka kufungiwa hio taa ya watt1000 na fundi wenu hapa mbweni.Kiukweli nimependa namna fund wenu alivyo serious na kaz yake.Anastahili pongezi kwakweli.Nmeamua kununua hii taa kwasababu nna jirani yangu alinunua kutoka kwenu na kanipa no zenu.Taa zenu ni nzuri na zina mwanga mkali sana
Abeid S.
Hii taa yenu ipo vizuri.Imenifanya niweze kupata mwanga mkali kwenye bwawa langu la samaki. Kanla ya kufunga giza limekua likiwapa mwanya wezi wa samaki usiku. Ila sasa hivi wezi wanapaogopa balaa.Wanaju ulinzi upo. Mkileta na bidhaa zingine mniambie ntanunua.
Severine G.
Nmenunua taa ya watt600 na nmeona mwanga wake.nilichukua moja ili kujaribu ubora kabla sijaagiza zingine maana huku mtandaoni matapeli wamekua wengi.unaagiza bidhaa na unaipata ila ubora unakua chini sana.nashukuru kwa hii taa ya watt600 mmetimiza ahadi yenu.ntaongeza zingine mwsho wa mwez nkipata mshahara.
Arjun S.
Taa yenu imekaa tayari kuanza kazi yake.Hongereni kwa kutuletea taa bora na zenye mwanga mkubwa
Stephano E.
Mwanga wa hizi taa ni balaa aisee.Nlichukua taa mbili tu kujaribu ila kwa ubora huu nlioona naona itabid niongeze zingine nkafunga kule kwa nyuma ya nyumba.Asanteni kwa taa nzuri na zenye ubora
Seif J.
Ulinzi wa magari ya ofisi ulikua hatarini haswa umeme ukikatika usiku.Tulikua tunahitaji mwanga mkali na wa uhakika hata umeme ukikatika.Boss wangu amefurahi kuona mwanga upo wakat wote usiku.Kazipenda hizi taa zenu za watt1000.Amesema atongeza zingine kwa ajili ya ofisi yake iliopo Mwenge.
Denis A.
Hapa kwangu Goba usalama umeimarika.Mwanga upo wa kutosha.Nikirud kutoka kazini nakua najiamini kwasababu mazingira yanakua kama mchana vile.Nimefunga pia na pembezoni mwa nyumba hivyo mwanga unazunguka nyumba yangu yote.Mwanga wa hizi taa ni mzuri.Ntawaletea wateja wengine wakiziona kwangu
Mwemba B.
Taa zimefungwa hapa kwangu Kigamboni.Taa za umeme zikizima bado mwanga unakuwepo wa kutosha.Hii inasaidia kiusalama na pia wafanyakaz wangu wanakua hawana hofu kutoka nje ya nyumba umeme ukikatika.Ntaongeza na nyingine nyuma ya nyumba
Ahmed A.
Hii Taa itatusaidia sana hapa msikitini kwetu.Tumeridhika na ubora wake.Mafundi watafanya kaz kwa ufanisi kumaliza ujenzi wa msikiti wetu.Mwenyezi Mungu awabariki.Aongeze palipopungua
Shirima R.
Hii ni mara ya pili napokea taa.Mara ya kwanza ilikuja na scratch kutokana na uzembe wa mabasi ya kusafirisha, lakini nashukuru mmenipa nyingine kufidia ya mwanzo.Wakala Kamtuma boda aniletee hapa Moshi mjini.Kwasasa naona kila kitu kipo kizuri.kama kuna mrejesho mwingine nitasema
Hemedi H.
Taa nimeipata ndani ya siku moja tangu nlipoagiza.Mi ni mkazi wa Zanzibar.Huduma yenu ni nzuri.Mko haraka kufikisha mizigo kwa mteja.Hii taa ikifanya vizuri nitaongeza pale nitakapopata pesa.Natumaini mtatimiza ahadi yenu ya kunipa punguzo endapo nkiagiza tena.
Mohammed A.
Zinafanya kazi vizuri.ila jamani naombeni mtafute wakala huku Pemba.Nmezifunga kwenye go down langu hapa.Zimezunguka kote na kuna mwanga wa kutosha.Niliwahi kufunga za umeme, bili ilikuwa juu sana.Hizi za solar zitapunguza gharama.
Atuhuvilage M.
Fundi wenu katoka kunifungia hapa Ununio.Uzuri taa imekuja na chaji kabisa kwahyo imewaka moja kwa moja.Ofa ya kufungiwa bure naomba iendelee na kwa wiki ijayo.Isiishie tu wiki hii manake ntaoda na zingine kwa ajili ya ndani ya nyumba.Hapo nmefunga mbili nje kwenye parking yangu.Navorudi kazini hua ni giza hatari.Majirani wakiniuliza ntawapa namba yenu
Haikaeli M.
Nili oda taa moja tu ili kujaribu hapa Arusha.Usiku kunakua na giza sana na panatisha.Hii taa yenu ina mwanga mzuri.Nimeikubali sana.Naombeni kitu kimoja tu nyie Almasishop.Nitahitaji nyingi zaidi kwa ajili ya uwanja wangu wote, hivyo naombeni punguzo kubwa kwa oda yangu ijayo.