Kitenge M.
Nyumba yangu ipo hapa msasani dar es salaam.Nimefungiwa hizi taa mbili ndani ya siku moja.Nimependa mlivonifungia haraka hizi taa.Nimechoka kulipia bili ya umeme kwenye taa za nje.Nitawaletea wateja wengi kupitia marafiki zangu wakiziona hizi taa mlizonifungia.
George W.
Zoez la kufunga taa ndo linamalizika.Nlichoipendea hii taa ni namna unavyoiweza kuifunga kwa style nyingi mno.Ntakutumia tena picha na video zikiwa zinawaka usiku.Mtu wenu wa delivery yupo sharp sana.Nimependa alivo makini
Singh P.
Nimefurahi kuona mwanga wa kutosha kipind narud nyumbani usiku.Ningefunga taa za umeme ingeni gharimu sana kwenye bili za umeme.Sasa hivi navorud ku park gari yangu naona mwanga wa kutosha eneo lote.Rafiki zangu wamezikubali sana hizi taa
Ambrose S.
Taa imekaa mahala pake aisee.Inapiga mwanga mkali hadi asubuh ya saa3.Sikuamini hadi wife aliponiambia nitazame.Hizi taa ni kiboko aisee.Ikifika usiku ntapiga picha nyingine nkutumie uone.Endeleeni kuleta vitu vyenye ubora kwa ajili yetu.
Christopher M.
Nimeridhika na mwanga wa hizi taa.Imenibidi nifunge kuzunguka nyumba nzima.Ntaongeza tena hivi karibuni kwa ajili ya nyumba yangu nyingine ya Mwanza.
Six J.
Fundi wenu yupo hapa ndo ametoka kuzifunga taa huku mbezi beach.Tumezijaribu tayari kabla ya kuzifunga na zote zipo vzuri.Nachoweza kuwashauri ni kwamba msiwasahau wateja wenu wa zamani.Muwe mnatutumia meseji mkipata mzigo mpya sio mpaka tuwaone huko instagram tena.
Mama L.
Mimi ni mkazi wa bagamoyo.Nlipita hadi hapo dukani kwenu mwananyamala kununua hio taa na pia nikapendezwa na taa zenu za garden nkachukua moja pia.Hii floodlight ipo vzuri.Inawaka had asubuh Saa mbili yaani.Sijajutia kuichukua.Mkiwa na bidhaa mpya msisite kunitumia meseji
Salim A.
Nyumbani kwangu kumekua kama uwanja wa mpira.Mwanga ni mkali na taa zinawaka hadi saa moja asubuh.Design mliyoichagua kwenye ufungaji wake imefaa sana eneo langu.Sasa hiv sitahitaji tena taa za umeme kwangu.
Frank K.
Taa zimeshafika na ndo zinafungwa hapa na fundi.Mi ni mkazi wa Kagera Bukoba hapa.Nmeshazijaribu zinawaka vizuri.Ntatuma picha zingine zikishafungwa kabisa kwa ukuta
Abeid A.
Tumefunga taa chache tu ila mwanga ni mzuri na unatosha kwa mazingira haya.Hii nliagiza kwa ajili ya kampuni ila nadhani mara nyingine ntaagiza kwa ajili yangu binafsi.Nimependa huduma zenu
Mushi C.
Hii taa yenu ni kiboko.Nmefurahi kua kati ya watu wa kwanza kununua hii.Mwanga wake uko vizuri na mimi nmeiset mtu akipita inakua inaongeza mwanga mkali.Nmechukua watt200 ila nadhani wiki ijayo ntaagiza watt300 mniletee .Wakala wenu wa Moshi anapafahamu