Josephat M.
Ntakupigia na picha ya usiku inavyokua ili uone balaa la mwanga wake. Hii taa tangu nifunge wiki ilopita imekua ikiwaka had asubuh. Nadhani huko mbeleni nitaongeza zingine, nimependa mwanga wa njano. hua unanivutia sana.
Erasto n.
Hii watt100 mlonipa ipo poa kabisa. imenifikia juz huku tarime. Wakala wenu aliniletea hio juzi. Ndio naendelea kuijaribu kabla sijampa fund afunge. Ni kinyume na matarajio yangu kabisa. Vitu vya mtandaoni hua siamin kabisa ila mmeamua kunibadilisha mtazamo. Mmekua waaminifu na mmenisikiliza kama mteja
Ismail M.
Ndio nimefunga leo hapa nje ya nyumba yangu. Mwanga ni mkali na nimechagua mwanga mweupe. Muendelea kuleta vizuri wanunuz tupo. Mdogo wangu pia anataka. Atawatafuta , nshampa no zenu