Amad M.
Fund wenu kanifungia vizuri hii taa. Ameweza kunishawish ninunue zaidi ya moja ili nimulike eneo jingine nyuma ya site yangu. Nimependa huduma yenu. please keep it up. Nkihitaj zingine ntawapigia
Mutalemwa D.
Getini kwangu kuna mwanga wa kutosha. wakati narud nyumbani kulikua hamna mwanga kabisa kabla sijafunga hii taa. Sasa hivi nkiingiza gar usiku najiskia amani kabisa jinsi nkiona mwanga ulivo mwingi. Good product. i will refer to others
Kateba I.
Hii Ufo ni kiboko. garden yangu inameta meta usiku kucha. kuna muda nliamka kuangalia saa9 usiku na bado mwanga ulikua mkali. Ntaongeza moja kwa ajiili ya getini kwangu