Halima M.
Taa imeendana na ukuta wa nyumba yangu. Naona kila kitu kinachoendelea site kwangu. Mafund wote nawaona na kuwaskia vzuri. Kupitia memory card nimeweza kuangalia matukio ya nyuma muhimu haswa mida ya usiku. Kuna site nyingine nkianza kujenga ntarudi tena kuwaungisha.
Asajile M.
Taa inaona vzuri tu shambani kwangu. Matukio yote anayofanya kijana wangu wa shamba nayaona kupitia simu yangu. Na mimi ni mtu wa kusafir safir sana hivyo imenilazimu kununua hii taa yenye camera nijue kila kinachoendelea muda wowote shambani kwangu.
Ernesto J.
Ipo tayari juu inanig'inia kwa mbele ya nyuma getini. Sasa hivi naona kila anayeingia getini na kutoka. Nawaona watu vizuri kwa sura zao bila kificho. Kipindi na safiri hii taa ilikua msaada mkubwa sana kwangu. Iliniwezesha kujua kila kinachoendelea nyumbani kwangu.
Mark B.
Mzigo umenifikia salama salmin.Hapa ndo nakaribia kufunga huku kwetu karagwe.Baada ya kuifunga ntawatumia picha nyingine za ushahidi.Nimekua nkihitaji muda mrefu ili nikomeshe wizi wa mifugo hapa kwetu.Nataka kuwajua wabaya wangu wanaoniibia.
Isaac R.
Napend kuchukua nafas hii kuwapongez ALMA SHOP kwa bidhaa zenu zilizo Bora,
Bidhaa zenu n Bora San na hamjawah kuniangush toka mwaka juz tuanze kufany biashar na nyie,nmekuw nkiupokea mzigo ukiw kamili na kwa wakat,
Mungu awabariki sana