CAMERA INAYOTUMIA LINE YA SIMU – Almasishop


CAMERA INAYOTUMIA LINE YA SIMU

Posted by Ria Stambuli on

Hii ni latest camera isiyotumia umeme wa nyumbani.Inakuja na panel yake kabisa kwa ajili ya kuchaji betri zake za ndani.Sababu Za kununua hii Camera ni hizi:
  Utaweza Kuona Matukio Popote Ulipo Hata Nje Ya Nchi:
Kwa kupitia simu yako utaweza kuona matukio live hata ukiwa nje ya nchi.kinachohitajika ni kuweka line ya simu kwenye camera ya 4G na iwe na bando wakat wowote.
    Mtu Akipita Utapata Meseji Kwa Simu:
Endapo mtu akipita ambapo kamera inamulika basi utapata ujumbe kupitia application yako kwamba kuna mtu amepita kwenye eneo lako
      Hata Usiku Utaweza Kuona Matukio Yote:
    Camera hii ina Infrared Vision yaani teknolojia inayoiwezesha iweze kuona hata kwenye giza hivyo hata usiku utaweza kupata taarifa zote zinazoendelea kwenye eneo lako
    Inatumia Solar Hivyo Haihitaji Umeme wa Nyumbani:
  Uwepo wa Solar panel unaifanya hii Camera isitegemee Umeme wa tanesco hivyo inaweza kujichaji yenyewe kupitia mwanga wa jua.Japo unaweza kutumia umeme wa nyumbani kuichaji na ikafanya kaz kama kawaida
    Haiingizi Maji:
  Camera hii imetengenezwa kwa ajili ya mazingira ya nje hivyo haina shida na mvua na maji yanayoweza kuipitia.Itaendelea kupiga kaz hata nyakati za mvua
 
      Camera Hii Imewafaa sana watu wenye maeneo yasiyo na umeme wa Tanesco wanaohitaji ulinzi na kujua kinachoendelea wakati wote.Mfano: Mashamba,Eneo la mifugo,Mabwawa ya samaki,Site za nyumba,etc.
 
Utaona Kila kitu kinachoendelea na kujua vitu vingi ambavyo wafanyakaz wako hawawezi kukuambia
 
Pia Tunatoa Ushaur zaidi ili kuimarisha ulinzi kwa eneo lako lote.Mfano tutakushauri aina ya Taa za Solar za kufunga,solar alarms,nk ili uwe na aina tofauti za vifaa vya ulinzi na kujua kila kitu kinachoendelea.
 
👉 Bei ni 350,000Tshs
 
🏪 DAR ES SALAAM Tupo Mwananyamala Msaada Garage
🏪 DODOMA Tupo Barabara ya 6

0 comments

Leave a comment

Please note, comments must be approved before they are published